Habari za Punde

ndugu Simba akiwa masomoni nchini China

 Ndugu Mohamed Simba akifurahia mandhari ya sehemu ya jiji la Beijing. Ndugu Simba anajionea mwenyewe namna gani mwenda kwa miguu anavyoweza kutembelea jiji bila ya bughudha ya wenye vya moto. Yote haya yamekuja kutokana na upangaji mzuri wa miji pamoja na usimamizi mzuri wa usafiri, mafunzo ambayo ameyafuata hapa Beijing,
Ndugu Mohamed Simba akipokea cheti baada ya kuhitimu mafunzo ya historia na utamaduni wa China. Mafunzo hayo ni sehemu ya mafunzo ya usimamizi wa usafiri anayochukuwa katika chuo cha AIBO kilichopo Beijing, China

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.