Habari za Punde

Happy Birthday Amour


Maafisa wanaoshughulikia usafiri kutoka Zanzibar ambao wapo mafunzoni Beijing, China wanaonekana wakijimwaga kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa mwenzao ndugu Amour. Mwenye chupa kubwa ya Soda ni ndugu Mohamed Simba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.