Habari za Punde

Rais Kikwete Aweka Shada la Maua Kaburi la Mashujaa, Atembelea Makumbosho ya Taifa ya Algeria.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua kwenye kaburi la Mashujaa wa Algeria, leo Jumapili, Mei 10, 2015. Rais Kikwete yupo nchini Algeria kwa ziara ya siku tatu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipewa maelezo wakati alipotembelea Makumbusho ya Taifa la Algeria, Mjini Algiers, leo Jumapili, Mei 10, 2015. Rais Kikwete yupo nchini Algeria kwa ziara ya siku tatu. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.