Habari za Punde

Zanzibar Yaadhimisha Siku ya Wauguzi Duniani.



 Wauguzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja wakiapa wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani. Wakiungana na Wauguzi wengine Duniani kuadhimishi Siku hii. 
 Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar Mhe. Bihindi Hamad Khamis akihutubia wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wauguzi Duniani.
 Wauguzi wakimsikiliza Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Mhe Bihindi Hamad akitowa nasaha zake kwa Wauguzi hao wakati wa kuadhimishi Siku ya Wauguzi Duniani.





No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.