Habari za Punde

Dk Bilal awasili Sharm Al Sheikh kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi wa jumuiya ya Afrika Mashariki

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri wa Uchukuzi  wa Egypt, Hossam Kamal, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sharm El Sheikh, jijini Sharm El Sheikh Cairo Misri, kwa ajili ya kuhudhuri Mkutano Mkuu wa tatu wa Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Soko la pamoja la nchi za Kusini mwa Afrika (COMESA) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).
Agenda ya mkutano huo ni kupokea taarifa ya majadiliano ya kuanzisha eneo huru la Biashara la Utatu wa EAC, COMESA na SADC. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri wa Afrika Mashariki, Dkt. Harrison Mwakyembe, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sharm El Sheikh, jijini Sharm El Sheikh Cairo Misri, kwa ajili ya kuhudhuri Mkutano Mkuu wa tatu wa Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Soko la pamoja la nchi za Kusini mwa Afrika (COMESA) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Picha na OMR



 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Uwanja wa wa Ndege wa Kimataifa wa Sharm El Sheikh, jijini Sharm El Sheikh Cairo Misri, kwa ajili ya kuhudhuri Mkutano Mkuu wa tatu wa Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Soko la pamoja la nchi za Kusini mwa Afrika (COMESA) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Waziri wa Uchukuzi  wa Egypt, Hossam Kamal, kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sharm El Sheikh, jijini Sharm El Sheikh Cairo Misri. Dkt. Bilal, amewasili Jijini Sharm El Sheikh kwa ajili ya kuhudhuri Mkutano Mkuu wa tatu wa Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Soko la pamoja la nchi za Kusini mwa Afrika (COMESA) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Picha na OMR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.