Habari za Punde

Kutoka Baraza la Wawakilishi

 Baadhi ya Wananchi mbalimbali wakifuatilia kikao cha Bajet cha Baraza la Wawakilishi kinachoendelea huko Mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
 Waziri wa Ardhi Makaazi Maji na Nishati Ramadhan Abdalla Shaabani katikati mwenye kofia akiwa na Naibu wake Haji Mwadini Makame wakipongezwa na baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wawakilishi baada ya kupita kwa Bajeti ya Wizara yake nje ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni nje ya mji wa Zanzibar.

Waziri wa Ardhi Makaazi Maji na Nishati Ramadhan Abdalla Shaabani Kulia akipewa mkono wa pongezi na Mwakilishi wa Kikwajuni Mahmoud Mohammed Mussa baada ya kupita kwa bajeti ya Wizara yake nje ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Nje ya mji wa Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.