Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania wasio na ajiri (TUEPO) Ussi Said Suleiman akimkaribisha Waziri wa Uwezeshaji, Ustawi wa Jamii, Wanawake na Watoto Bi. Zainab Omar katika ufungaji wa mafunzo ya siku tatu ya Stadi za maisha kwa vijana 73 wa Jumuiya hiyo yaliyofanyik Ukumbi wa Water Front Hall Rahaleo Mjini Zanzibar.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Mwakilishi wa Jimbo la Rahaleo Nassor Salim Ali (Jazira) akimkabidhi charahani Mwenyekiti wa TUEPO Ussi Said Suleiman ikiwa ni ahadi aliyoitoa wakati wa uzinduzi wa Jumuiya hiyo.
Baadhi ya vijana walioshiriki mafunzo ya stadi za maisha wakimsikiliza Waziri wa Uwezeshaji, Ustawi wa Jamii, Wanawake na Watoto Bi. Zainab Omar (hayupo pichani) wakati wa ufungaji wa mafunzo hayo.
Mgeni rasmi katika ufungaji wa mafunzo hayo Bi. Zainab Omar akimkabidhi cheti mmoja wa washiriki hao Aziza Saleh Mohd.
Picha ya pamoja Mgeni rasmi katika kufunga mafunzo ya stadi za maisha Bi. Zainab Omar (kati waliokaa) na baadhi ya vijana walioshiriki mafunzo hayo.
Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment