Mke wa Rais Mama Saloma Kikwete akiangalia moja ya machapisho mbalimbali yanayohusiana na Mkutano wa Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika (OAFLA) unaofanyika nchini Afrika Kusini.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa hotuba yake ya mwisho kwenye kikao cha Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika kinachofanyika kwenye Ukumbi wa Sandton jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa hotuba yake ya mwisho kwenye kikao cha Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika kinachofanyika kwenye Ukumbi wa Sandton jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akielekea kwenye ukumbi wa mkutano huku akifuatana na Mke wa Mfalme Mswati III wa Swaziland Inkoskati Lamagongo (katikati) na kushoto ni Msaidizi wa Mke wa Mfalme.
Wake wa Marais wakiwa katika picha ya pamoja baada ya ufunguzi wa Mkutano huo Nchini Afrika Kusini jana 15-6-2015
No comments:
Post a Comment