Mhe Bernard Membe akiwa na Viongozi wengine katika Jukwaa kuu wakati wa Mkutano wake wa Kutangaza nia katika Viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Mkoa wa Lindi 
Wananchi wa Mkoa wa Lindi na Mtwara wakimpugia Mhe Bernard Membe wakati wa mkutano huo.
Wananchi na WanaCCM wa Mikoa ya Lindi na Mtwara wakiwa katika viwanja vya mkutano kati Ofisi ya CCM Mkoa wa Lindi wakimsikiliza Mhe Bernard Membe akizungumza na Wananchi hao kutowa Sera zake wakati wa kutangaza Nia ya kugombea Urais.
Mashekhe wa Mkoa wa Lindi na Mtwara wakiwa katika Jukwaa Kuu wakiwasili na kuketi katika sehem,u yao waliotengewa
Msanii wa Muziki wa Taraab Mfalme Mzee Yussuf akitowa burudani kwa wimbo maalum wa kumkaribisha Mhe Bernard Membe wakati akiwasili katika viwanja hivyo.
Vijana wa CCM wakiwa wamejichora na kutowa Ujumbe kupitia maandishi hayo.
Waheshimia wakiwa jukwaa kuu wakifuatilia hutuba wa kwanza Masisi wa CCM Sir Goerg Kahama, Makamu Mwenyekiti wa Wazee wa CCM Zanzibar Bi Khadija Jabir na Mwakilishi wa Jimbo la Kwahani Mhe Ali Salim, wakifuatilia mkutano huo.wa Mhe Membe akitangaza Nia ya Kugombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania katika viwanja vya Lindi.
Shekh wa Mkoa wa Lindi akitowa nasaha zake na kusoma dua kabla ya kuaza kwa mkutano huo wa Mhe Membe kutangaza Nia katika Viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Mkoa wa lindi
Kiongozi wa Madhehebu ya Dini Mkoa wa Lindi akitowa neo kabla ya kuaza kwa mkutano huo. wa Mhe Bernard Membe kutangaza Nia katika viwanja vya CCM Lindi
Makamu Mwenyekiti wa Wazee wa CCM
Zanzibar Bi Khadija Jabir , akizungumza wakati wa mkutano huo wa Mhe Bernad
Memba akitangaza Nia akitowa Salamu za Wazee wa Zanzibar kumuunga mkono Mhe Bernard Memba
Mwasisi wa CCM Sir
Goerg Kahama akitowa wasifu wa
Mgombewa wa Urais wakati wa kutangaza nia katika viwanja vya CCM Indi.
Viongozi wa CCM wakiwa katika jukwaa kuu wakifuatilia hutuba ya Mhe Bernard Membe akiwahutubia wanananchi wakati wa kutangaza nia ya kugombea uraisi katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Mkoa wa Lindi.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Lindi Mzee Ali Mohammed Mtopa akizungumza na
Wananchi wa Lindi na Mtwara wakati wa Mkutano wa Kutangaza nia kwa Mhe Bernard
Membe katika viwanja vya CCM Ofisi ya Mkoa wa Lindi.
Mhe Bernad Membe na Mkewe Mama Silsilia Membe na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Lindi
Mzee Ali Mohammed Mtopa akizungumza wakati wa mkutano huo na kuwaasa Wananchi
kumchagua Mhe Membe wakati ukifika.
Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe akiwahutubia Wananchi wa Mikoa ya
Lindi na Mtwara katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Mkoa wa Lindi wakati
akitangaza nia ya kugombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe akiwahutubia Wananchi wa Mikoa ya Lindi na Mtwara katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Mkoa wa Lindi wakati akitangaza nia ya kugombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mhe Bernard Membe akiwapungia mkono Wananchi wa Mkoa wa lindi baada ya kuwahutubia na kutangaza Nia ya Kugombea Urais katika viwanja hivyo.
Mhe Bernard Membe, akiwasalimia Wananchi wakati wa kutangaza nia katika viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM Mkoa wa Lindi.
Msanii Msechu akitowa burudani kwa Wananchi wa Lindi na Mtwara waliohudhuria Mkutano wa Mhe Bernard Membe kutangaza Nia ya kugombea Urais wa Tanzania.
Mhe Bernard Membe akiwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Lindi na Mtwara baada ya kuwahutubia na kutowa neno la kugombea Urais wa Tanzania mkutano huo umefanyika katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa wa Lindi
Msanii wa Steven Nyerere akiigiza lugha za Viongozi katika viwanja vya Mkoa wa Lindi wakati wa mkutano wa kutangaza nia kwa Mhe Bernard Membe kugombea Urais wa Tanzania.
Wasanii wa mizengo wakisalimia Wananchi wa Mkoa wa Lindi wakati wa Mkutano wa Mhe Membe kutangaza Nia ya kugombea Urais wa Tanzania.
Msanii wa Vichekesho akitowa burudani kwa kuigiza lugha mbalimbali za Viongozi wa Tanzania wakati wa mkutano huo
Msanii wa Filamu Tanzania JB akiwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Lindi wakati wa Mkutano wa Mhe Membe kutangaza nia Mkoani lindi

No comments:
Post a Comment