Picha ya pamoja ya Mitsuhiro Matsuda na baadhi ya wanafunzi wake waliopata mafunzo ya miaka miwili ya kupiga na kusafisha picha katika hafla ya kumuaga iliyofanyika Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo Mnazimmoja Zanzibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Znz.
Afisa habari Mkuu wa Idara ya Habari Maelezo Ramadhani Ali akitoa maelezo ya mafunzo yaliyoendeshwa na Mtaalamu wa Japan Mitsuhiro Matsuda katika hafla ya kumuaga iliyofanyika Wizara ya Habari Mnazimmoja Zanzibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Znz.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk akitoa shukrani kwa mwalimu wa picha kutoka Japan Mitsuhiro Matsuda katika hafla ya kumuaga iliyofanyika Ofisini kwake Mnazimmoja.
Mtaalamu wa kupiga picha kutoka Shirika la JICA la Japan Mitsuhiro Matsuda akizungumza katika hafla ya kumuaga iliyofanyika Wizara ya Habari Mnazimmoja Zanzibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Znz.
aziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk akimkabidhi zawadi Mitsuhiro Matsuda zilizotolewa na Idara ha Habari Maelezo Zanzibar katika hafla ya kumuaga iliyofanyika Wizara ya Habari Mnazimmoja Zanzibar
aziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk akimkabidhi zawadi Mitsuhiro Matsuda zilizotolewa na Idara ha Habari Maelezo Zanzibar katika hafla ya kumuaga iliyofanyika Wizara ya Habari Mnazimmoja Zanzibar
Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk akiangalia baadhi ya picha za wanafunzi waliopata mafunzo ya mwalimu kutoka Shirika la JAICA la Japan Mitsuhiro Matsuda katika hafla ya kumuaga iliyofanyika Wizara Habari Mnazimmoja baada ya kumaliza muda wa miaka miwili ya kutoa mafunzo ya kupiga picha Zanzibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Znz.
No comments:
Post a Comment