Habari za Punde

Maalim Seif asimamisha msafara wake kushuhudia ajali eneo la Mtoni

  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad amelazimika kusimamisha msafara wake kushuhudia ajali iliyotokea eneo la Mtoni kuelekea Bububu. Katika ajali hiyo mpanda vespa (jina halikufamika mara moja) amefariki papo hapo baada ya kugongwa na gari, huku msafara wa Maalim Seif ukikaribia eneo hilo. (Picha na Salmin Said, OMKR)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.