Habari za Punde

Tanzania yashiriki mkutano wa sheria ya bahari

 Bi. Monica Otavu,  Wakili wa Serikali Mkuu,  akizungumza wakati wa Mkutano wa  25 wa  Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Sheria ya Bahari. Katika   Mkutano huo wa wiki  moja   pamoja na  masuala  mengine, wajumbe walitambua na kupongeza mchango  mkubwa unaofanywa na vyombo vinavyoundwa na   Mkataba huo .  Vyombo hivyo ni  Mahakama ya Migogoro ya  Bahari ,   Kamisheni ya mwambao wa  Bahari ( Commission on Limits of Continental Shelf),  na  Mamlaka ya Kimataifa chini ya Bahari ( International Seabed Authority




No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.