Habari za Punde

Wanafunzi wa FEZA watembelea uwakilishi wa kudumu UN

Pichani ni Baadhi ya  Wanafuzi wa  Shule ya Feza Tanzania na viongozi wao  ambao wapo  hapa  Marekani kwa ziara ya  mafunzo walipata nafasi ya kufika katika uwakilishi wa kudumu wa Tanzania  na  walibadilishana  mawazo na Naibu Mwakilishi wa  Kudumu,  Balozi Ramadhan Mwinyi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.