Baadhi ya Wazee wa Ujerumani waliohudhuria katika chakula maalum kilichoandaliwa kwa Ujumbe wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na mwenyeji wake Mstahiki Meya wa Mji wa Wurzburg Mhe,Christian Schuehadt akiwa katika ziara ya kikazi Nchini Ujerumani alipohudhuria katika Tamasha la 27 ya Muziki lililoshirikisha Wasanii na Wanamuziki kutoka Nchi za Afrika na Mabara mengine Duniani
Kikundi cha Muziki wa Taarab cha Matona kutoka Zanzibar kikitoa burudani wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipoalikwa cha Chakula cha jioni na Mstahiki Meya wa Mji wa Wurzburg Mhe,Christian Schuehadt akiwa na ujumbe wake katika ziara ya kikazi Nchini Ujerumani alipohudhuria katika Tamasha la 27 ya Muziki lililoshirikisha Wasanii na Wanamuziki kutoka Nchi za Afrika na Mabara mengine Duniani,[Picha na Ramadhan Othman,]
No comments:
Post a Comment