Habari za Punde

Akinamama wajihadhari wakipanda vyombo vya moto

PIA haja kwa akina mama wanapopakiwa katika vyombo vya maringi Mawili, kuwa waangalifu sana kwa kudhibiti vizuri nguo zao, pichani wasamaria wema wakiikata nguo ya dada mmoja, ambaye jina lake halikufahamika mara moja, baada ya kuganda katika Honda aliyokuwa amepakiwa.(Picha na Mwandishi Wetu, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.