Gari ikiwa imepata ajali katika barabara ya migombani ikitokea mjini ikielekea Kiembesamaki na kupata ajali hiyo baada ya kumshinda kupanda vikuta na kupinduka upande wa pili wa barabara hiyo. katika ajali hiyo hakuna mtu aliyejeruhiwa wala kutokea madhara makubwa kwa dereva.
CCM BADO TUPO SANA ,TUNAYO AJENDA YA KUDUMU KUWATUMIKIA WATANZANIA-WASIRA
-
Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Geita
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira ameeleza
Chama hicho ni cha kudumu kwasababu kimekabidhiwa ...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment