Habari za Punde

Harambee ya kuchangia mfuko wa Maendeleo Mkoa wa Kusini Pemba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba jana wakati alipohudhuria katika Harambee ya kuchangia mfuko wa maendeleo wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba katika ukumbi wa Serena Hotel Jijini Dar es Salaam,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba jana wakati alipohudhuria katika Harambee ya kuchangia mfuko wa maendeleo wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba katika ukumbi wa Serena Hotel Jijini Dar es Salaam,[Picha na Ikulu.]
Baadhi ya Viongozi mbali mbali na wananchi na wapenzi wa CCM waliohudhuria katika hafla ya kuchangia mfuko wa maendeleo wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba katika ukumbi wa Serena Hotel Jijini Dar es Salaam jana,chini ya mgeni rasmi   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, [Picha na Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (katikati) pamoja na viongozi wengine wakiwa katika chakula wakati wa uchangiaji wa  Harambee ya kuchangia mfuko wa maendeleo wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba katika ukumbi wa Serena Hotel Jijini Dar es Salaam jana,[Picha na Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Bw.Said Salim Bakhresa(katikati) na Bw.Azizi salim wakiwa ni miongoni mwa wachangiaji    katika   Harambee ya kuchangia mfuko wa maendeleo wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba katika ukumbi wa Serena Hotel Jijini Dar es Salaam,[Picha na Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea fedha kutoka kwa Bi.Naila Jidawi Mwakilishi wa Kampuni ya Pennyroyal inayojenga Mradi Mkubwa wa Kitalii wa aina yake katika Kijiji cha Matemwe Mbuyutende Kaskazini Unguja, Dola za Kimarekani Elfu kumi  katika   Harambee ya kuchangia mfuko wa maendeleo wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba katika ukumbi wa Serena Hotel Jijini Dar es Salaam jana,[Picha na Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Bi.Naila Jidawi Mwakilishi wa Kampuni ya Pennyroyal inayojenga Mradi Mkubwa wa Kitalii wa aina yake katika Kijiji cha Matemwe Mbuyutende Kaskazini Unguja, kasha lililouzwa kwa shilingi za Kitanzania Millioni saba   katika   Harambee ya kuchangia mfuko wa maendeleo wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba katika ukumbi wa Serena Hotel Jijini Dar es Salaam jana,[Picha na Ikulu.]


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.