Habari za Punde

Karafuu za magendo zakamatwa Mtambwe

 Afisa mdhamini wa ZSTC Pemba  Bw Abdulla Ali Ussi akitoa maelezo baada ya Magunia ya Karafuu Kavu zilizokamatwa na Kikosi chake huko katika  Ufukwe wa Bahari ya Chanjaani Mtambwe , ambazo zilikuwa katika harakati ya kutaka kusafirishwa kwa njia ya Magendo., Anaemsikiliza ni Kamanda wa KMKM Zone ya Pemba, Silima Hija Hija,
 Afisa mdhamini wa ZSTC Pemba  Bw Abdulla Ali Ussi  akitoa maelezo baada Magunia ya Karafuu Kavu zilizokamatwa na Kikosi chake huko katika  Ufukwe wa Bahari ya Chanjaani Mtambwe , ambazo zilikuwa katika harakati ya kutaka kusafirishwa kwa njia ya Magendo., Anaemsikiliza ni Kamanda wa KMKM Zone ya Pemba, Silima Hija Hija,


Kamanda wa KMKM Zone ya Pemba, Silima Hija Hija, akionesha Magunia ya Karafuu Kavu zilizokamatwa na Kikosi chake huko katika  Ufukwe wa Bahari ya Chanjaani Mtambwe , ambazo zilikuwa katika harakati ya kutaka kusafirishwa kwa njia ya Magendo.



Picha na Nasra Khatib -PEMBA.


2 comments:

  1. Mkuu hawa wanaokuletea picha watoe maelezo sahihi ya wanaoonyeshwa kwenye hizi picha.Kwa mfano huyo aliyeshika kitabu ni Bw. Abdalla Ali Ussi ambae ni Afisa Mdhamini wa ZSTC Pemba. Lakini hakutajwa vizuri. Huyo anayezungumza kwenye picha ya chini naona ndie huyo kamanda wa KMKM Pemba. Lakini hebu angalia hayo maelezo kama yanaendana na picha.

    ReplyDelete
  2. Umesomeka Mkuu na tayari tumeshafanya marekebisho. Ahsante sana kwa angalizo

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.