Habari za Punde

Ujumbe wa PBZ washiriki mkutano wa 6 wa Asia Islamic Banking, Kuala Lumpur Malaysia


 Ujumbe wa PBZ ukiongozwa na mwenyekiti wa Bodi ya PBZ, Abdulrahman Mwinyi Jumbe (kulia) ukifuatilia kwa makini mada zinazotolewa kwenye mkutano wa 6 wa Asia Islamic Banking, uliofanyika katika hoteli ya Inter Continental Kuala Lumpur, Malaysia
Washiriki wa mkutano wa 6 wa Asia Islamic Banking, wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza mkutano wa siku mbili tarehe 12-13 Agosti 2015 uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Inter Continental, Kuala Lumpur, Malaysia

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.