Habari za Punde

Kujali Wanyamu Muhimu

Kijana huyu akijali mfugo wake akiwa katika maeneo ya barabara ya Mwera meli sta akimbeba mbuzi wake kwa ajili ya kumkatisha barabara kuepusha kugongwa na magari yanayotumia barabara hiyo na kuleta madhara kwa watumiaji wa barabara.

Kuna baadhi ya wafugaji hawajali mifugo yao na kuzagaa barabarani na kusababisha ajali. 

Kijana huyu ni mfano wa kuigwa na Wananchi wengine.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.