Habari za Punde

Mradi wa Uwekaji wa Kamera za CCTV Ukiendelea katika Maeneo ya Zanzibar

 Mradi wa uwekaji wa kamera katika barabara mbalimbali ukiendelea na ufungaji wake wa kamera hizo katika maeneo husika ya Mji wa Zanzibar ili kama inavyoonekana moja ya barabara ya Mlandege ikiwa tayari imeshafungwa kamera hizo na zoezi hilo linaendelea sehemu nyengine.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.