BAADHI ya wafuasi wa Chama cha wananchi CUF
na wananchi wengine wa Jimbo la Chambani wilaya ya Mkoani Pemba, waliohudhuria
katika hafla ya ugawaji wa vifaa mbali mbali, vikiwemo dawa, vifaa vya ujenzi
na michezo vilivyotolewa na viongozi wa Jimbo hilo na CUF taifa, hafla hiyo
ilifanyika uwanja wa Kwamtora Jimboni humo, (Picha na Haji Nassor, Pemba)

BAADHI ya vifaa vya michezo vilivyotolewa na Mbunge wa
Jimbo la Chambani Wilaya ya Mkoani Pemba Mhe: Yussuf Salim Hussein, ambapo
baadae viligawiwa kwa vilabu zaidi ya 40 vya soka vya Jimbo hilo, katika hafla
iliofanyika uwanja wa Kwamtaora jimboni humo, (Picha na Haji Nassor, Pemba)

BAADHI ya misahafu 5000 iliotolewa na
Mbunge wa Jimbo la Chambani wilaya ya Mkoani Pemba Mhe: Yussuf Salim Hussein
kwa ajili ya madrassa zote zilizomo Jimboni humo, hafla ya kukabidhi misahafu
pamoja na vifaa vyengine vya tiba ilifanyika uwanja wa Kwamtora, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
DAWA na vifaa vyengine kwa ajili ya
matibabu ya mwanadamu, zilizotolewa na Mbunge wa Jimbo la Chambani wilaya ya
Mkoani Pemba, ili visambaazwe hospitali zote za Jimbo hilo, hafla ya kukabidhi
vifaa hivyo pamoja na vya michezo ilifanyika uwanja wa Kwamtora, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MWENYEKITI wa CUF Wilaya ya Mkoani
Pemba, Rashid Saleh Mohamed akifungua mkutano wa hadhara uliofanyika uwanja wa
Kwamtora, ambao uliambatana na ugawaji wa vifaa mbali mbali ikiwa ni pamoja na
dawa, vifaa vya ujenzi na vya michezo vilivyotolewa na viongozi wa Jimbo la
Chambani na CUF taifa, mkutano huo ulifanyika uwanja wa Kwamtora, ( Picha na Haji Nassor, Pemba)
MJUMBE wa baraza kuu la CUF taifa Mhe: Hamad Massoud
Hamad akimkabidhi misahafu 5000 mwalimu wa Madrasaa kutoka Tumbi, kwa ajili ya
kuigawa kwa madrassa zote za Jimbo hilo, pamoja na misahafu hiyo, pia
kulitolewa juzuu 4400 na Mbunge wa Jimbo la Chambani Mhe: Yussuf Salim Hussein,
hafla hiyo ilifanyika uwanja wa Kwamtora, (Picha
na Haji Nassor, Pemba).
MJUMBE wa baraza kuu la CUF taifa Mhe: Hamad Massoud
Hamadi akimkabidhi vifaa vya tiba na dawa za matumizi ya mwanadamu, dk Ali
Habibu kwa ajili ya kugawiwa kwa hospitali zote za Jimbo la Chambani, vifaa
hivyo pamoja na vyengine vilitolewa na viongozi wa Jimbo hilo na CUF taifa, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MJUMBE wa baraza kuu la CUF taifa Mhe: Hamad Massoud Hamadi, akimkabidhi mashine ya kupigia matofali kiongozi wa kikundi cha kupiga matofali cha Ukutini, vifaa hivyo pamoja na vyengine vilitolewa na mbunge wa Jimbo la Chambani Mhe: Yussuf Hussein Salim, hafla hiyo ilifanyika uwanja wa Kwamtora, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MJUMBE wa baraza kuu la CUF taifa Mhe:
Hamad Massoud Hamad akimkabidhi tanki ya kuhifadhi maji kwa kikundi cha mboga
mboga cha Sebubanwa Jimbo la Chambani, lilitolewa na Mbunge wa Jimbo la
Chambani Mhe: Yussuf Salim Hussein, hafla hiyo ilifanyika uwanja wa Kwamtora, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MJUMBE wa baraza kuu la CUF taifa Mhe:
Hamad Massoud Hamad akimkabidhi mipira mitano kwa ajili ya gari chama,
Mwenyekiti wa chama hicho wilaya ya Mkoani, Rashid Salehe Mohamed, iliotolewa
na Mbunge wa Jimbo la Chambani Mhe: Yussuf Salim Hussein, hafla hiyo ilifanyika
uwanja wa Kwamtora, (Picha na Haji
Nassor, Pemba).
MJUMBE wa baraza kuu la CUF taifa Mhe: Hamad Massoud Hamadi, akimkabidhi mashine ya kupigia matofali kiongozi wa kikundi cha kupiga matofali cha Ukutini, vifaa hivyo pamoja na vyengine vilitolewa na mbunge wa Jimbo la Chambani Mhe: Yussuf Hussein Salim, hafla hiyo ilifanyika uwanja wa Kwamtora, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MJUMBE wa baraza kuu la CUF taifa Mhe:
Hamad Massoud Hamad akimkabidhi vifaa vya michezo, Katibu wa klabu ya Cossovo
ya Wambaa Mohamed Abass Mohamed, vifaa vilivyotolewa na Mbunge wa Jimbo la
Chambani Mhe: Yussuf Salim Hussein, hafla hiyo ilifanyika uwanja wa Kwamtora, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
No comments:
Post a Comment