Habari za Punde

Mkutano wa Magavana wa Benki Kuu wa Nchi za Afrika MasharikiUliofanyika Hoteli ya Melia Zanzibar.

Gavana Mkuu wa Benki ya Tanzania Prof, Benno Ndulu, akifungua mkutano wa Magavana wa Mabenki Kuu ya Nchi za Afrika Mashariki  kuzungumzia mzunguko wa Fedha katika Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Melia Pwani Mchani Zanzibar, KULIA Gavana wa Benki Kuu yas Kenya Dk. Patrick Njoronge 
 Wajumbe wa kutoka IMF wakifuatilia Mkutano Magavana wa Nchi za Afrika Mashariki kuzungumzia masuala ya uchumi wa Nchi zao.
Maofisa wa Benki Kuu ya Tanzania wakifuiatilia Mkutano huo wakati wa ufunguzi wake uliofanywa na Gavana Mkuu wa Benki Kuu ya Tanzania Prof Benno Ndulu.katika ukumbi wa Hoteli ya Melia Pwani Mchangani Zanzibar
 














No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.