HUYU NDIYE UGIN MKINGA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MADABA
-
Ruvuma.
Ugin Mkinga ni jina jipya lenye mvuto mkubwa katika anga ya siasa ya
Tanzania, hasa kwa wale wanaofuatilia mustakabali wa maendeleo ya Jimbo la ...
31 minutes ago
Hio ni barabara sio kituo cha daladala. Ili kiwe ni kituo kuna vigezo vyake: lounge ya kusubiri mabasi, huduma za vyoo, resta, information desk, kituo cha polisi n.k. Hapo unaofanyika ni uhuni tu wahusika hawajitambui. Mamlaka za usafiri na manispaa bado zinafanya business as usual.
ReplyDelete