Habari za Punde

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Janet Mbene Atembelea Kiwanda cha Kutengeneza Vigae Mkoani Mbeya

Naibu waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Janet Mbene akmsikiliza Kiongozi wa Kampuni ya Marmo and Garnito wakati alipofanya ziara kutembelea kiwanda hicho kuanmgalia bidhaa zinazozalishwa kiwandani hapo mjini mbeya
 Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara,Janet Mbene,akiangalia  baadhi ya bidhaa zilizotengenezwa na kampuni ya Marmo and Garnito Mines kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya nyumbani na maofisini
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara , Janet Mbene, akitembelea sehemu ya kiwanda cha Marmo anda Granito Mines

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.