Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete akimsiliza Kiongozi wa Timu ya Azam ambao ni Mabingwa wa Kombe la Kagame wakati walipofika Ikulu kumkabidhi Kombe hilo, baada ya kuibuka mabingwa kwa mwaka huu.
Rais Jakaya Mrisho kikwete akikabidhiwa kombe la ubingwa michuano ya Kagame ya CECAFA na nahodha wa
mabingwa wa Tanzania Azam FC walipofika Ikulu jijini Dar es salaam kumkabidhi kombe hilo Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015
No comments:
Post a Comment