Habari za Punde

Rais kikwete azindua hati za ahadi ya uadilifu kwa Viongozi, Watumishi wa Umma na Sekta binafsi

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini Hati za Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi, Watumishi wa Umma na Sekta binafsi akishuhudiwa na viongozi wa taasisi na sekta hizo leo Agosti 14, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiikabidhi baada ya kuweka saini Hati za Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi, Watumishi wa Umma na Sekta binafsi akishuhudiwa na viongozi wa taasisi na sekta hizo leo Agosti 14, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam

 Mwenyekiti wa Business Roundtable Ali Mufuruki na Mkuu wa Brela wakisaini kwa niaba ya sekta binafsi na za umma Hati za Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi, Watumishi wa Umma na Sekta binafsi akishuhudiwa na viongozi wa taasisi na sekta hizo leo Agosti 14, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam


PICHA NA IKULU


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.