Habari za Punde

Dk Shein Aufungua Uwanja wa kufurahisha Watoto Tibirinzi Pemba

Viongozi wa Serikali wakia katika viwanja vya Uwanja wa Watoto Tibirinzi Pemba wakimsubiri mgeni Rasmin Rais wa Zanzibar, kuuzindua Uwanja huo baada ya kumaliza ujenzi wake wa ufungaji wa pembea za kisasa.
Rais wa Zanzinar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe Omar Yussuf Mzee alipowasili katika viwanja vya Tibirinzi Pemba kwa ajili ya ufunguzi wa Uwanja huo.
Rais wa Zanzibar akisalimiana na Mwananchi wa Chakechake alipowasili katika viwanja vya Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuuzindua uwanja mpya wa Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba baada ya kumaliza ujenzi wake wa ufungaji wa mapembea mampya. kwa ajili ya kuchezea watoto kisiwani humo. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria kuuzindua uwanja wa Watoto wa Tibirinzi Chakechake Pemba baada ya kukamilika kwa ujenzi wake na tayari kwa kutowa huduma ya michezo ya Watoto kusherehekea Sikukuu mbalimbali kisiwani humo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akitembelea Uwanja wa Watoto Tibirinzi Chakechake Pemba baada ya kuufungua rasmin jana.
























No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.