Habari za Punde

Simai Mohamed Said akanusha kwamba amehama CCM

Kuna taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya jamii kwamba mgombea Uwakilishi wa Jimbo la Tunguu, Simai Mohamed Said, amekihama chama cha CCM.

Taarifa hizi zimekanushwa vikali na Simai Mohamed Said kupitia ukurasa wake wa Facebook na kusema ni uzishi tu na kuwataka wananchi waupuuze.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.