Habari za Punde

Taarifa za msiba Marekani : Eddie Malcom hatunae tena Duniani



Innaa Lillaahi wa innaa ilayhi raaji'un 

Eddie Malcom hatunae tena Duniani


Kwa taarifa tulizozipata Eddie Ally Buna maarufu kwa jina la (Eddie Malcom) amefariki Dunia Ghafla Siku ya Jumanne August 4, 2015, huko New Jersey, Marekani, Utaratibu wa kusafirisha Maiti kuelekea Zanzibar umepangwa kuwa siku ya jumaamosi Aug 8, 2015 pia kutakua na sala ya Maiti kabla kusafirishwa, mwili wa marehemu, siku hiyo hiyo ya jumamosi tarehe 08/082015 mapema saa nne asubuhi (10:00AM) kabla ya safari ya kuelekea Airport.

MAHALA:
MASJID IHSAN
977 FULTON STR,
BROOKLYN, NY 11238.

M/Mungu ailaze roho ya Marehemu Pahala Pema Peponi 
INNAA LILLAAHI WAINNAA ILAYHI RAAJIUUN.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.