Habari za Punde

Tasaf yakabidhi malipo kwa kata masikini Ng'ambwa kisiwani Pemba

 Wanakaya Maskini sana wa Shehia ya Vitongoji wakisuburi walipaji wa fedha kutoka mradi wa Tasaf 3 kwa jili ya kunusuru kaya Maskini .

 Mwana kaya Maskini wa Shehia ya Vitongoji akiweka saini kwenye fomu maalumu ya malipo ya kaya maskini huko Vitongoji akiwa katika harakati za kupatiwa malipo hayo kutoka kwa Watendaji wa Tasaf Pemba.
 Naibu Katibu mkuu wa Ofisi ya Makamo wa pili wa Rais Zanzibar, Ahmada Kassim Haji, akifuatlilia zoezi la ulipaji kwa Shehia mpya ya Vitongoji na Ng'ambwa katika Mradi wa Tasaf 3 wa kunusuru kaya Maskini sana .

Picha na Bakar Mussa -Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.