MKURUGENZI wa Mazingira Zanzibar Juma Bakari Alawi,
akitoa maelezo ya Mradi wa Utawala Bora na Haki za Binaadamu kwa wananchi wa
Shehia ya kilindi, Unaoendeshwa na Jumuiya ya Maendeleo ya Wanawake wa Tundauwa
huko katika skuli ya Kilindi kisiwani Pemba.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
WANANCHI wa shehia ya Kilindi Wilaya ya Chake Chake
Pemba, wakiwa katika kazi za vikundi juu ya Tathmini ya Mradi wa Utawala Bora
na Haki za Binaadamu, ulioendeshwa na Jumuiya ya Maendeleo ya Wanawake wa
Tundauwa huko katika skuli ya Kilindi Kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MWALIMU Salim Ali Salimu akiwasilisha mapendekezo ya
kazi za vikundi, juu ya Tathmini ya Mradi wa Utawala Bora na Haki za Binaadamu,
ulioendeshwa na Jumuiya ya Maendeleo ya Wanawake wa Tundauwa huko katika skuli
ya Kilindi kisiwani Pemba.(Picha na Abdi
Suleiman, PEMBA.)
SHEHA wa Shehia ya Kilindi Wilaya ya Chake Chake,
Abuu Abrahman Salum, akitoa shukurani zake kwa Jumuiya ya Maendeleo ya Wanawake
ya Tundauwa, kwa kumaliza salama mradi wa Utawala Bora na Haki za Binaadamu,
huko katika skuli ya Kilindi Msingi kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment