KATIBU wa UVCCM Mkoa wa kusini Pemba Mbwana Zubeir,
akitoa taarifa fupi ya UVCCM ya mkoa huo kabla ya wajumbe wa UVCCM Mkoa wa
kusini Pemba, kupiga kura za kuchagua Mbunge na Mwakilishi kupitia Umoja wa
Vijana Mkoa kusini Pemba.(Picha na Abdi
Suleiman, PEMBA.)
WAJUMBE wa UVCCM Mkoa wa kusini Pemba,
wakiwasikiliza kwa makini wagombea wa Ubunge na Uwakilishi kupitia Umoja huo, huko
katika tawi la CCM Makombeni Wilaya ya Mkoani.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MWENYEKITI Mstaafu wa UVCCM Mkoa wa kusini Pemba
Issa Juma Othman, akifungua uchaguzi wa UVCCM Mkoa wa kusini Pemba, Uchaguzi
huo uliofanyika huko katika Tawi la CCM Makombeni Wilaya ya Mkoani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
Mmoja wa wagombea Ubunge na uwakilisha kupitia UVCCM Pemba akijeleza na kunadi mikakati yake kabla ya kufanyika kwa uchaguzi Mbunge na Mwakilishi wa Umoja huo

No comments:
Post a Comment