Habari za Punde

Uzinduzi wa Kampeni ya CCM Jangwani Hapatoshi

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wakati wa kuwatambulisha Wagombea wa CCM wa Urais wa Tanzania Mhe John Magufuli na kuwakabidhi Ilani ya Uchaguzi ya CCM kuinadi kwa Wananchi.
 Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi Mhe John Magufuli akiwahutubia WanaCCM katika mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni ya CCM zilizofanyika katika viwanja vya Jangwani Jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Umati wa Wananchi wa Dar na Vitongoji vyake. 
Umati wa Wananchi swaliohudhuria Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni ya Chama cha Mapinduzi zilizofanyika katika viwanja vya Jangwani Jijini  Dar-es- Salaam wakifuatilia uzinduzi huo wakati wa kukabidhiwa Ilani ya Uchaguzi kwa Wagombea wa CCM Mhe John Magufuli na Mgombea Mwenza Mhe Samiha Suluhu Hassan. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.