Habari za Punde

Wananchi na Taasisi husika tuliangalie hili,Tusikaribishe maafa mengine

IPO haja kwa taasisi zinazohusika na masuala ya kusimamia abiria katika bandari ya mkoani kuwa makini, wakati wa baadhi ya meli zinazofanya safari zake kutoka Pemba kwenda Unguja, ili kunusuru upakiaji wa abiria wengi katika meli hizo.

Pichani abiria waliokuwa hawana tiketi wakiwa wameachwa katika bandari hiyo baada ya meli kuondoka kwenda Unguja.(Picha na Mwandishi Wetu, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.