Habari za Punde

Wagombea wa CCM jimbo la Wawi wajinadi na kunadi sera zao

 KATIBU wa Tawi la CCM Wawi Jimbo la Wawi Wilaya Chake Chake Mwalim Said Ali Mohamed, akitoa maelezo juu ya jimbo la Wawi lilivyo kwa wagombea wa Ubunge, Uwakilishi na Udiwani kabla ya kuomba kura kwa wanachama wa tawi hilo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 WAGOMBEA mbali mbali wa Jimbo la Wawi wakiwa katika tawi la CCM wawi, kabla ya kuomba ridhaa kwa wanaccm wa tawi hilo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MJUMBE wa Kamati ya Siasa Wilaya ya Chake Chake Pemba, ambaye pia ni mkuu wa Wilaya hiyo Mhe:Hanuna Ibrahim Massoud, akizungumza na wanachama wa CCM na wagombea wa Unbunge, Uwakilishi na Udiwani Jimbo la Wawi, kabla ya wagombbea hao kuomba kura kwa wanacham.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MGOMBEA udiwani Said Shaib Bakar akinadi sera zake kabla ya kuomba kura kwa wanaccm katika tawi la wawi jimbo la Wawi Wilaya ya Chake Chake.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MGOMBEA udiwani Sadiki Omar Kassim akinadi sera zake kwa wanaccm wa Jimbo la Wawi kisiwani Pemba, kabla ya kuwaomba kura wanachama hao.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MGOMBEA Uwakilishi wa jimbo la Wawi kisiwani Pemba, Hamad Abdalla Rashid, akinadi sera zake kwa wanaccm tawi la Wawi, kabla ya kuwaomba kura wanachama hao.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MGOMBEA Uwakilishi wa jimbo la Wawi Kisiwani Pemba, Isha Kassim Said akinadi sera zake kwa wanaCCM wa tawi la wawi kabla ya kuwaomba kura wanachama hao.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MGOMBEA Uwakilishi wa jimbo la Wawi kisiwani Pemba Suleiman Juma Saidi, akinadi sera zake kwa wanaccm wa Tawi la CCM Wawi, kabla ya kuwaomba kura wanachama hao.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Wawi kisiwani Pemba, Nassor Ali Abdalla akinadi sera zake kwa wanaccm wa Tawi la Wawi, kabla ya kuwaomba kura wanachama hao.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Wawi kisiwani Pemba, Said Bakar Hamad akinadi sera zake kwa wanaccm wa Tawi la Wawi, kabla ya kuwaomba kura wanachama hao.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Wawi kisiwani Pemba, Daudi Khamis Juma akinadi sera zake kwa wanaccm wa Tawi la Wawi, kabla ya kuwaomba kura wanachama hao.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.