ASKARI wa jeshi la Polisi kikosi cha usalama wa barabarani mkoa wa kusini Pemba, wakifanya ukaguzi wa vyombo mbali mbali vya moto vinavyoingia na kutoka, katika mji wa Chake Chake katika eneo la Michakaeni.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MHE. RAIS SAMIA APONGEZWA KUTEKELEZA MKAKATI WA TAIFA WA NISHATI SAFI YA
KUPIKIA KWA VITENDO
-
-Mitungi ya gesi 330 kugaiwa bure kwa Watumishi Magereza Simiyu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
amepongezwa kwa kute...
7 hours ago
No comments:
Post a Comment