AFISA mdhamini Ofisi ya Mkamo wa kwanza wa Rais
Pemba, Fatma Mohamed Omar akitoa maelezo kwa wanachama wa Jumuiya ya Qamer ya
Nchini Canada, wakati walipofika katika jumba la Makumbusho Pemba, kwa lengo la
kuangalia mambo mbali mbali ya kale yaliyokuwemo kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
WANACHAMA wa Jumuiya ya Qamer kutoka nchini Canada,
wakiangalia ngalia vitu vya kale vilivyomo ndani ya moja ya vyumba vilivyomo
ndani ya Jumba la makumbusho kisiwani Pemba.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MMOJA ya wanachama wa Jumuiya ya Qamer kutoka nchini
Canada, Abdull-Hakim akiwafahamisha wanajumuiya wenzake jinsi ya wafungwa
wanavyoishi wakiwa Jela, baada ya wanajumuiya hao kutembelea jumba la
makumbusho Kisiwani Pemba.(Picha na Abdi
Suleiman, PEMBA.)
BAADHI ya wanachama wa jumuiya ya Qamer ya Nchini
Canada, wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza kutembelea jingo
la makumbusho Kisiwani Pemba na kuangalia vitu mbali mbali vilivyomo ndani ya
jumba hilo.(Picha na Abdi Suleiman,
PEMBA.)
No comments:
Post a Comment