Habari za Punde

Kampeni za Mgombea wa CCM Ileje.

Mh Janet Mbene mgombea Ubunge jimbo la Ileje akiasalimia na wakazi waisongole wakati akiwa njiani kuelekea kata za Bundari wakati wa kampeni za kugombea ubunge wa jimbo hilo.
Aliyekuwa mgombea ubunge katika kura za maoni za Chama cha Mapinduzi Marcelin Ndimbwa  akimnadi mgombea Ubunge wa ubunge wa CCM Mhe.Janet Mbene
Mh Janet Mbene akicheza kwaya na wakazi wa Kata ya Kapelekesi wakati wa mikutano yake ya kampeni katika kata ya ileje.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.