Makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mgombea wa Urais Kupitia Chama cha Wananchi-CUF Mh. Maalim Seif Sharif Hamad akipeana mkono na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar Mh. Jecha Salim Jecha baada ya kumaliza hatua za ujazaji wa Fomu hizo. Makabidhiano hayo yamefanyika Hoteli ya Bwawani tarehe 03.09.2015.
TANESCO SACCOS YAIGUSA SEKTA YA AFYA KWA KUTOA MASHUKA YENYE THAMANI YA
MILIONI 23 JIJINI DODOMA.
-
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe Rosemary Senyamule amesema pamoja Serikali
kufanya kazi kubwa hasa katika Sekta ya Afya i...
53 minutes ago
No comments:
Post a Comment