Daktari Dhamana wa Kanda ya Unguja Dkt Fadhili Ramadhani akitowa maelezo kwa Madaktarei Bingwa wa Kichina walipofika katika Kijiji cha Kitope kutowa huduma ya Afya kwa Wanancxhi wa maeneo hayo..
Mwananchi wa Kijiji cha Kitope Unguja akifanyiwa uchunguzi wa macho na madaktari wa kichina walipofika katika kijiji hicho kutoa huduma ya Afya kwa Wananchi wa Zanzibar.

Madaktari Mabingwa wa Kichina wakitoa huduma ya Afya kwa Wananchi wa Kijiji cha Kitope Unguja wakiwa katika zoezi la kutoa matibabu kwa Wananchi wa Zanzibar akitoa huduma ya matibabu ya meno kwa Mtoto wa Kijiji hicho
Mwanachi akipato huduma ya Afya kwa kumpima mtoto wake Halila Hamza wakati wa zoezi hilo la madaktari wa mabingwa wa Kichana wakitoa huduma ya Afya kwa Wananchi wa Zanzibar..
Daktari Mkuu wa Mabingwa wa kutoka China Dkt. Xu Zhuoqun, akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutowa huduma kwa wananchi katika zoezi la kutoa huduma za kiafya kwa wananchi wa Zanzibar.(Picha na Abdalla Omar Maelezo Zanzibar)
No comments:
Post a Comment