Habari za Punde

Mashekh wa Zanzibar Waliotekwa Nchi Congo Wawasili Zanzibar Jana Usiku Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume.

Ndege ya  ambayo imewachukua mashekhe wa Zanzibar waliotekwa Nchi Congo na Waasi ikiwasili uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amein Karume jana usiku.
Ndugu na jamaa wa Mashekh waliotekwa nchi Congo wakiwa katika uwanja wa Kimatauifa wa Abeid Amani Karume wakiwasubiri jamaa zao kuwapokea jana usiku.
Afisa wa Wakfu na Mali ya Maana Zanzibar Shekh Abdalla Talib, na Viongozi wa Dini wa Markasi ya Mpendae Zanzibar wakiwa katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kuwapokea Mashekh, waliokuwa Nchi Congo wakitowa Elimu ya Dini ya Kiislam na kutekwa na Waasi wa Nchi hiyo kwa muda wa mwezi mmoja waliwasili Zanzibar jana usiku. 
Ndugu na Jamaa wa Mashekh waliotekwa Nchini Congo na Waasi wakiwasubiri jamaa zao jana usiki wakitokea Nchini Congo.  
Kaimu Katibu Mkuu Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Ahmad Kassim Haji na Afisa wa Kamisheni ya Wakfu na Mali Amana Zanzibar wakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kuwapokea Mashekh wa Zanzibar waliokuwa Nchi Congo wakitowa Elimu ya Dini na kutekwa na Waasisi wa misitu wa Congo kwa muda wa mwezi mmoja wakiwasubiri kuwapokea jana usiku.
Mashekh wa Zanzibar waliotekwa Nchi Congo na Waasi wa misituni wakiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kwa ndege ya Shirika la Ndege la  Precision,
Mashekh wakisalimiana na Viongozi wa Serikali na Dini waliofika kuwapokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
Mashekh. waliotekwa na Waasi wa Congo wakisalimiana na Jamaa zao baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar baada ya kuachiwa huru, kwa jitihada za Serikali ya Congo na Tanzania kuweza kuwakomboa Mashekh hao wakiwa salama.
Mashekh. waliotekwa na Waasi wa Congo wakisalimiana na Jamaa zao baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar baada ya kuachiwa huru, kwa jitihada za Serikali ya Congo na Tanzania kuweza kuwakomboa Mashekh hao wakiwa salama.

Mashekh waliotekwa na Waasi wa Congo wakisalimiana na Jamaa zao baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar baada ya kuachiwa huru, kwa jitihada za Serikali ya Congo na Tanzania kuweza kuwakomboa Mashekh hao wakiwa salama.
Mashekh. waliotekwa na Waasi wa Congo wakisalimiana na Jamaa zao baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar baada ya kuachiwa huru, kwa jitihada za Serikali ya Congo na Tanzania kuweza kuwakomboa Mashekh hao wakiwa salama.
Mashekh, Zanzibar waliotekwa Nchini Congo wakiwasili katika chumba cha VIP Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume baada ya kuwasili Zanzibar wakiwa na Balozi wa Tanzania Nchini Congo Balozi Anthony Cheche.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Zanzibar Ndg Rafi Haji akitoa maelezo wakati wa kuongoza mahojiano na waandishi wa habari wakati wa ujio wa mashekh waliotekwa nchini congo baada ya kuwasili Zanzibar katika uwanja wa Ndege wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
Mmoja wa Mashekh waliotekwa Nchini Congo Shekh. Mohammed Abdalla, akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya Zanzibar kuhusiana na tukio la kutekwa nyara kwao na waasi wa msititu wa Congo mnamo tarehe 2-8-2015 na kuachiliwa tr 29-8-2015 baada ya jitihada za Serikali ya Tanzania kwa kushirikia na Serikali ya Congo. 
Shekh Abeid Issa ni mmoja wa mashekh waliotekwa nyra Ncxhi Congo akizungumza na waandishi wa habari jinsi ya tukio hilo na kuporwa vitu vyao vyote ikiwemo simu na fedha zao. 
Balozi wa Tanzania Nchini Congo Balozi Anthony Cheche na Afisa wa Kamesheni ya Wakfu na Mali ya Amana Shekh Abdalla Talib wakifuatiliwa maelezo ya mashekh hao wakati wakizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa VIP, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wea Abeid Amani Karume Zanzibar. 
Balozi wa Tanzania Nchi Congo Balozi Anthony,N.Cheche akjizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar baada ya kuwasili Zanzibar akiwashindikiza Mashekh, wa Zanzibar waliotekwa Nchi Congo baada ya kufanywa kwa jitihada za Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Congo kufanikisha kupatika kwa mashekhe hao wakiwa salama.  
                                    Shekh. Amani Awesu Mkaazi wa Mwera Zanzibar
                                   Shekh.Ali Khamis Mkaazi wa Mwera Zanzibar.
                                  Shekh. Abdalla Sihim Mkaazi wa Wete Kisiwani Pemba.
                                      Shekh. Abeid Issa Mkaazi wa Mwera Zanzibar
                                  Shekh Mohammed Abdalla Mkaazi wa Dara Bovu Zanzibar.
                                    Shekh. Makame Khamis Mkaazi wa Chumbuni Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.