Mgombea Urais kupitia Chama cha TLP Mhe Hafidh Suleiman Kijacho akiwa na Viongozi wa TLP wakimshindikiza katika Afisi za Tume kurejesha fomu yake ya kugombea Urais wa Zanzibar.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha TLP Mhe Hafidh Suleiman Kijacho akionesha mkoba wake ukiwa na fomu za kugombea Urais wa Zanzibar kabla ya kumkabidhi Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe Jecha.S.Jecha akipokea fomu za Mgombea Urais wa Chama cha TLP Mhe Hafidh Suleiman Kijacho alipofika Afisi za Tume kukabidhi fomu zake za kugombea Urais wa Zanzibar.
Mgombea Urais wa Chama cha TLP Mhe Hafidh Suleiman Kijacho akionesha fedha zake za kulipia fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar shilingi milioni mbili ikiwa Ada ya kurejesha fomu ya Urais Afisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar.
Mgombea Urais kupitia Chama cha TLP Mhe Hafidh Suleiman Kijacho akimkabidhi fedha za kulipia fomu ya Urais wa Zanzibar Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC Mhe Jecha.S.Jecha baada ya kurejesha fomu yake Afisi za Tume Zanzibar.
No comments:
Post a Comment