Habari za Punde

PBZ Yakabidhi Mashine ya Foto Kopi kwa Skuli ya Tumekuja.

 Kaimu Mkurugenzi Masoko wa Benki ya Watu Zanzibar Ndg Seif Suleiman, akimkabidhi mashine ya Foto Kopi Kaimu Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Ndg.Salum Rashid Salum.kwa ajili ya matumizi ya Skuli hiyo makabidhiano hayo yamefanyika katika Afisi za PBZ darajani Zanzibar

Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya Watu wa Zanzibar Ndg Seif Suleiman akimkabidhi Toner Kaimu Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Zanzibar Ndg Salum Rashid Salum, makabidhiano hayo yamefanyika Afisi za PBZ Darajanin Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.