Habari za Punde

Siku ya Uzinduzi wa Benki Yako Kiganjani Grand Palece Hoteli Malindi Zanzibar.

 
Mwenyekiti wa Tume ya Mawasiliani Tanzania TCRA Mhe Salmin Senga, akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Benki yako Kiganjani.
Mkurugenzi wa Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar Dk Mzee Suleiman Mndewa akizungumza wakati wa uzinduzi wa Benki yako Kiganjani kupitia Ezypesa hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Grand Palece Malindi Zanzibar.
 Baadhi ya waalikwa katika uzinduzi wa Benki yako Kiganjani wakifuatilia hafla hiyo wakati wa uzinduzi wake uliofanywa na Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe Omar Yussuf Mzee katika ukumbi wa hoteli ya Grand Palace Malindi Zanzibar.
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ Ndg Juma Amour, akielezea mafanikio ya PBZ katika uboreshaji wa utoaji wa huduma za kibenki kwa wateja wao, akizungumza wakati wa uzinduzi wa Ubia na Zantel katika kutoa huduma za kibenki kupitia simu za mikononi. 

Mkurugenzi Mkuu wa Kampunbi ya Simu ya Zantel Ndg Pratap Ghose akizungumza wakasti wa uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Grand Palece Malindi Zanzibar na kusema ushirikiano huu baina ya PBZ na Zantel itaiwezesha Ezypesa kufanya miamala ya kifedha kutoka katika akaunti zao za PBZ wananchi wa Zanzibar. 

   Viongozi wa meza kuu wakifuatilia huituba za viongozi wa PBZ na Zantel wakati wa uzinduzi huo.












Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe Omar Yussuf Mzee akiwa katika picha yua pamoja na Wajumbe wa Bodi za PBZ na Zantel baada ya hafla ya ufunguzi wa Benki yako Kiganjani. kupitia Ezy pesa. 
Waziri wa Fedha Zanzibar Mhe Omar Yussuf Mzee akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Bodi ya PBZ na wafanyakazi wa Zantel na PBZ.
Timu ya Ufundi ya Wataalamu kutoka Benki ya Watu wa Zanzibar PBZ na wa Kampuni ya Simu ya Mkononi ya Zantel waliofanikisha zoezi la Benki ya Kiganjani kupitia pande mbili hizo wakiwa katika picha ya pamoja baada ya uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Grand Palece Malindi Zanzibar. 



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.