Habari za Punde

Swala ya Eid el Hajj kitaifa Mkoa wa Kaskazini Unguja leo

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi alipowasili katika Uwanja vya Mpira Mkokotoni Wilaya ya kaskazini A,palipofanyika Swala ya EID El Hajj iliyoswaliwa kitaifa katika Mkoa wa Kaskazini Unguja leo.[Picha na Ikulu.]
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi alipowasili katika Uwanja vya Mpira Mkokotoni Wilaya ya kaskazini A,palipofanyika Swala ya EID El Hajj iliyoswaliwa kitaifa katika Mkoa wa Kaskazini Unguja leo.[Picha na Ikulu.]

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kushoto) akijumuika na Viongozi mbali mbali na Waislamu  katika Uwanja vya Mpira Mkokotoni Wilaya ya kaskazini A,palipofanyika Swala ya Eid El Hajj iliyoswaliwa kitaifa katika Mkoa wa Kaskazini Unguja leo iliyoongozwa na Sheikh Mmadi Shamata Kutoka Msikiti wa Kijiji cha Nungwi,.[Picha na Ikulu.]
 Viongozi mbali mbali na Waislamu  wakiwa katika Swala ya  Eid El Hajj katika Uwanja vya Mpira Mkokotoni Wilaya ya kaskazini A, iliyoswaliwa kitaifa katika Mkoa wa Kaskazini Unguja leo iliyoongozwa na Sheikh Mmadi Shamata Kutoka Msikiti wa Kijiji cha Nungwi,.[Picha na Ikulu.]

 Akina mama wa Kijiji cha Mkokotoni na Vijiji Jirani walijumuika katika Swala ya  Eid El Hajj katika Uwanja vya Mpira Mkokotoni Wilaya ya kaskazini A, iliyoswaliwa kitaifa katika Mkoa wa Kaskazini Unguja leo iliyoongozwa na Sheikh Mmadi Shamata Kutoka Msikiti wa Kijiji cha Nungwi,.[Picha na Ikulu.]

 Akina mama wakiwa katika kiwanja cha mpira  Kijiji cha Mkokotoni wakisikiliza Hotuba ya  Swala ya  Eid El Hajj iliyotolewa na Sheikh Mmadi Shamata Kutoka Msikiti wa Kijiji cha Nungwi,baada ya kumalizika kwa ibada ya swala iliyoswaliwa leo kijijini hapo ikiwa ni kawaida ya swala za Eid  El Haji kuswaliwa katika Wilaya mbali mbali za Unguja na Pemba,[Picha na Ikulu.]
 Sheikh Mmadi Shamata Kutoka Msikiti wa Kijiji cha Nungwi,akitoa Khutba ya swala ya Eid El Hajj mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) pamoja na Viongozi mbali mbali waliojumuka  katika Uwanja vya Mpira Mkokotoni Wilaya ya kaskazini A,palipofanyika Ibada hiyo,[Picha na Ikulu.]
 Wananchi na waumini wa Dini ya Kiislamu wakisikiliza Khutba iliyotolewa leo na Sheikh Mmadi Shamata baada ya kuwaswalisha katika Swalaya Eid El Hajj iliyofanyika katika uwanja wa mpira Mkokotoni Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa kaskazini Unguja,[Picha na Ikulu.]

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na baadhi ya Wattoto baada ya kumalizika kwa Ibada ya Swala ya EID El Hajj iliyoswaliwa kitaifa katika Mkoa wa Kaskazini Unguja leo katika Uwanja wa mpira wa Mkokotoni Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa kaskazini Unguja,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na baadhi ya Mashekhe wa Wilaya ya Kaskazini A Mkoa wa kaskazini Unguja na Viongozi baada ya swala ya Eid El Hajj mazungumzo hayo yalifanyika leo katika ukumbi Ikulu ya Mkokotoni  ,[Picha na Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akifanya mahojiano na Watoto Nabiel Mohammed (mwenye maiki) na Ahmed Mohammed wa kipindi cha watoto katika (ZBC) Shirika la Utangazaji Zanzibar katika kusherehekea Sikukuu ya Eid El Hajj,mahijiano yalifanyika leo katika Ikulu ya Mkokotoni Wilaya ya kaskazini A Mkoa wa Kaskakazini Unguja,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.