Mgeni rasmin katika uzinduzi wa kampeni za CCM Wilaya ya Dimani Waziri kiongozi mstaafu wa Zanzibar Mhe. Shamsi Vuai Nahodha akiwahutubia wananchi waliofika kwenye Mkutano wakuwanadi wagombea wa CCM Wilaya Dimani kabla ya kuwatambulisha kwao.
Baadhi ya wanachama wa CCM wakisikiliza Mgeni rasmin Mhe. Shamsi Vuai Nahodha (hayupo pichani) alipokuwa akiwahutubia katika Mkutano uliofanyika kiwanja cha shinyanga karibu na Baraza la Wawakilishi Chukwani.
Waziri kiongozi mstaafu ambae ni Mgeni rasmin katika uzinduzi wa kampeni za CCM Wilaya ya Dimani Mhe. Shamsi Vuai Nahodha (alievaa kofia ya kiuwa wa sita kushoto) akiwanadi wagombea Ubunge, Uwakilishi na Udiwani wa Wilaya ya Dimani kwa wananchi.
No comments:
Post a Comment