Habari za Punde

Mkutano wa Kampeni za CCM jimbo la Gando, Wete Pemba

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CC Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi mara alipowasili katikamuwanja wa mpira kijiji cha Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba katika mkutano wa hadhara wa kampeniza CCM zinazoendelea,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CC Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono wananchi na wanachama cha Mapinduzi mara alipowasili katika  uwanja wa mpira kijiji cha Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM zilizoendelea leo,[Picha na Ikulu.]
  
 Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CC Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa sera zake wakati wa Mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM zilizoendelea leokatika  uwanja wa mpira kijiji cha Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba,[Picha na Ikulu.]

 Kikundi cha Taarab cha Kangagani kinachoongozwa na Prof.Gogo kikitumbuiza wananchi na wanachama wa CCM waliohudhuria katika mkutano wa Hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika leo katika Uwanja wa Mpira Kijiji cha Gando,wilaya ya Wete Mkoa wa kaskazini Pemba Jimbo la Gando,mgeni rasmi akiwa  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CC Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]
Maelfu ya wanachama cha Mapinduzi CCM na Wananchi waliofurika katika uwanja wa mpira kijiji cha Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba katika mkutano wa Hadhara wa kuwanadi wagombea wa nafasi mbali mbali za Uongozi katika Chama cha Mapinduzi,wakiwemo Rais wa Zanzibar,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Wabunge ,Wawakilishi na Madiwani,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.