Habari za Punde

TRA Yatowa Elimu kwa Mlipa Kodi Pemba.

Afisa Elimu kwa Mlipa kodi kutoka TRA Zanzibar,Ndg.Saleh Haji Naimu,akitowa Mada kuhusiana na Elimu kwa Mlipa Kodi iliofanyika katika ukumbi wa ZSSF Chake Pemba na kuwashirikisha Watendaji wa Halmashauri na wa Mabaraza ya Mjini Kisiwani Pemba.
Mdhamini wa TRA-Pemba,Ndg Habib Saleh Sultan, akifunguwa semina ya siku moja  juuya ulipaji kodi kwa watendaji wa wa Halmashauri na mabaraza ya miji Pemba katika ukumbi wa ZSSF Pemba. Picha na bakar Mussa-Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.