MWENYEKITI wa chama cha Siasa cha ACT Wazalendo Mkoa
wa kaskazini Pemba Maryam Ali Hamad, akifungua mkutano wa hadhara kwa chama
hicho, Huko katika kiwanja cha Kangagani Jimbo la Kojani Wilaya ya Wete Mkoa wa
Kaskazini Pemba.(Picha na Abdi Suleiman.PEMBA.)
MAKAMO Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Taifa Shaban
Mambo, akizungumza na wananchi wa shehia ya Kangagani Jimbo la Kojani Wilaya ya
Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakati wa uzinduzi wa kampenzi za Chama hicho.(Picha na Abdi Suleiman.PEMBA.)
MGOMBEA Mwenza Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Mhe:Hamad Yussuf akizungumza na
wananchi wa kangagani Jimbo la Kojani Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba,
wakati wa ufunguzi wa kampenzi za Chama hicho.(Picha na Abdi Suleiman.PEMBA.)
WAGOMBEA mbali mbali wa Chama cha ACT Wazalendo
kisiwani Pemba, wakitambuliwa kwa wananchi katika mkutano wa hadhara wa chama
hicho, huko katika viwanja vya Kangagani Jimbo la Kojani Wilaya ya Wete Mkoa wa
kaskazini Pemba.(Picha na Abdi
Suleiman.PEMBA.)
WANANCHI wa Shehia ya Kangagani Jimbo la Kojani
Wilaya Ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakiwasikiliza kwa makini wagombea
Urais wa Tanzania na Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT Wazalendo,
wakati wa uzinduzi wa kampenzi za Chama hicho Kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman.PEMBA.)
MGOMBEA wa Urais wa Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo Mhe:Khamis Iddi Lila, akizungumza na wananchi wa Kangangani Jimbo la Kojani Wilaya ya Wete Mkoa wa kasikazini Pemba, wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho.(Picha na Abdi Suleiman.PEMBA.)
MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kupitia chama cha ACT Wazalendo Mhe:Anna Elisa Mghwira, akizungumza na wananchi
wa kangagani Jimbo la Kojani Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakati wa
uzinduzi wa kampenzi za Chama hicho.(Picha
na Abdi Suleiman.PEMBA.)
No comments:
Post a Comment